Ainisha upon tayari kulipa riba ya % kwa kipindi hichi na upo wapi
[
QUOTE=Tanzania Halisi;10842480]Nawezaje kupata mkopo wa laki 6 kwa kuweka dhamana ya title ya kiwanja changu kimepimwa na serikali kipo Mkuranga...
Nitalipa hiyo pesa kwa muda wa miezi 7[/QUOTE]