nahitaji mke

nahitaji mke

Muwage na huruma aisee.

Utamkazaje akiwa na njaa. Kuvaa si shida utajitetea kwamba hatakuwa anatoka so akikaa uchi fresh.
 
ukitaka picha zangu nicheck fb musa wa israel

au whatsapp 0655079119 am serious

tafuta hela wewe acha uboya.

Hata maandiko yanasema uombe na kufunga kama uwezo wa kuoa huna.

Umtoe mtoto wa kike kwao aje akutumikie atakula nini, atavaa nini ama unawaza kumkaza tu umzalishe?

Haya hao watoto watakula nini.

wa israel my foot.
 
Mkuu umeandika huna familia ulikuuwa unakusudia nini? Yatima au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom