Nahitaji mke wa kuoa

Ungekuwa romantic wewe wala usingesumbuka kuleta bango humu la kutafuta mpenzi. Kuna tatizo mahali
Hakuna tatizo ila kama hauko interested basi haina shida, nikutakie muda mwema Mimi Niko powa tu na najiamini kwa kila ninacho kifanya.
 
Sikupata huko kote niliyempata hakuwa ridhiki niliishi naye safari yetu ikafikia ukingoni, tulibahatika mtoto lakini mwenzangu alibadilika mwishoni. Natafuta aliye serious popote pale hata kama humu yupo nitampokea tukiridhiana.
Kazana kijana, mke material utapata, waambie waje kwenye boksi uwafanyie usaili
 
Njoo niko hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…