Nahitaji mke mwema

Hebu tupe kwanza feedback ya waliopita. Manake kwa kutafuta tu, unajitahidi.

Sijui kama huwa 'thrust' kimasihara

Thread 'Nahitaji mke mwema' Nahitaji mke mwema

Thread 'NATAFUTA MKE WA KUISHI NAYE' NATAFUTA MKE WA KUISHI NAYE

Thread 'Iam searching for a white girl or woman' Iam searching for a white girl or woman

Thread 'Natafuta mchumba wa kike' Natafuta mchumba wa kike

Ukimind Mkuu Sema nikupe location uning'oe meno mawili matatu.
Hahaha ajabu kwenye uzi wa Natafuta mchumba wa kike aliopost feb mwaka huu alikuwa ana miaka 35
Ndani ya miezi miezi minne ameongezeka kwa miaka mitatu

This is JF
 
38 mbona hajazeeka bado?? Unataka kusema na 27 yangu hii nioe?? Enewei nikija home Tz nitaoa wacha nisake maisha kwanza.
Angalia usije ukawa kama mtoa mada. Ukiona mtu anatangaza kutafuta mke/mume ujue kuna tatizo mahali
 
Ukute ana familia pembeni.

Huyu anavizia wale wanawake ambao wapo desperate wanatafuta ndoa anawakula kwa kisingizio ana future nao.

Haiwezekani 3 years now usiwapate.
Three years anatafuta mke jf..

Hivi hakuna kabisa wanawake wa kuoa hapo Tz??

Huko mitaani je? Wanasemaje mkuu?
 
Angalia usije ukawa kama mtoa mada. Ukiona mtu anatangaza kutafuta mke/mume ujue kuna tatizo mahali
Kuna Mambo hutokea mkuu siyo kwamba kufikisha miaka 38 au 40 bila mke inapangwa. Kuna mazingira yakitukuta sisi Me basi inakuwa ngumu kuoa mapema. Kuna other factors other than money, true love... mbona huku watu hawako serious Sana na ndoa mkuu? Mimi Naona suala la kuoa limebaki Africa tu
 
Ni kweli usemayo. Ndoa ni upumbavu basi tu tumerogwa.
Ingawa ina manufaa kwenye baadhi ya mambo...imagine umeumwa upo kitandani unajisaidia hapo hapo miaka na miaka nani atakuhudumia? Kiafrika mke ndo anaachiwa...ndugu wa mume wanakaa kando kama haiwahusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom