Najitokeza kwenye uwanja huu nami kuweka tangazo langu la kumsaka mwenza wa maisha. Kwa wale tu wenye dhamira ya dhati ya uhitaji naomba mni-pm.
Sifa za mke nimtakaye ni:-
1. Mkristo
2. Asiwe mnene
3. Rangi yake asiwe mweusi
4. Umri usizidi miaka 28.
Mm si mnene, ni mweusi na kimo cha kati. Nina umri wa miaka 35, mengine tutaongea kwenye pm.
Karibuni sana naomba kuwasilisha.