Dah makanisani haifai na sihitaji wa kanisani mimi
Dah makanisani haifai na sihitaji wa kanisani mimi
jf nimekuja hapa Mimi ni
musician gospel napiga piano, drums na gitaa bass but kwa sasa
nimemaliza project yangu nilyoifanya kama ya John lisu hivyo tatizo
linakuja kufanya Huduma ya MUNGU kama hujaoa inasumbua hivyo nahitaji
mwanamke anayeweza elewa kile mi nafanya awe mcha MUNGU, na mwenye uwezo
kielimu kidogo coz tunaweza tukawa tunatoka nje ya nchi hivyo kwenye
kusaini mikataba na wageni inahitajika elimu pia awe na hata kauwezo
kidogo ili tutakapo panga project za kufanya kuhusu industry yetu ambaye
mbeba maono ni Mimi isiwe ngumu kufanya on time jaman, awe mkristo tu,
na umri awe kuanzia umri usiozidi miaka 26 basis hata kama akinizidi awe
anajiheshi tutaenda kwa pastor na prose's zitafuatwa jamani, ukihitaji
vigezo +255714255432 Naamini hapa jibu litapatikana Jf MUNGU
awabariki
jf nimekuja hapa Mimi ni musician gospel napiga piano, drums na gitaa bass but kwa sasa nimemaliza project yangu nilyoifanya kama ya John lisu hivyo tatizo linakuja kufanya Huduma ya MUNGU kama hujaoa inasumbua hivyo nahitaji mwanamke anayeweza elewa kile mi nafanya awe mcha MUNGU, na mwenye uwezo kielimu kidogo coz tunaweza tukawa tunatoka nje ya nchi hivyo kwenye kusaini mikataba na wageni inahitajika elimu pia awe na hata kauwezo kidogo ili tutakapo panga project za kufanya kuhusu industry yetu ambaye mbeba maono ni Mimi isiwe ngumu kufanya on time jaman, awe mkristo tu, na umri awe kuanzia umri usiozidi miaka 26 basis hata kama akinizidi awe anajiheshi tutaenda kwa pastor na prose's zitafuatwa jamani, ukihitaji vigezo +255714255432 Naamini hapa jibu litapatikana Jf MUNGU awabariki
Kejeri sio nzuri mtu anapoamua kutoa jambo lilo moyoni sijambo rahis mtu kuanika yaliyo rohon mwake japo watu wana amini kutafuta mke kwenye mitandao ya kijamii ni uhuni siwezi kubisha hili kwa asilimia mia lakn lazima tu jue kuwa kuna watu wako serious .
Hapo sasa....Hahitaji wa kanisani sasa sijui anataka wacha Mungu wa wapi . funguka mkuu mtoa madaUnashangaza...umesema lazima awe mkristo af unasema hutaki wa kanisani. Siku hizi kuna wakristo wanaabudu makaburini?
Hapo sasa....Hahitaji wa kanisani sasa sijui anataka wacha Mungu wa wapi . funguka mkuu mtoa mada
I see investor needed in this.....mungu akutangulie kwa katika hili