Nahitaji min bus ya 26 seater ya kukodi

Nahitaji min bus ya 26 seater ya kukodi

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,585
Reaction score
2,014
Tarehe 13 October 2022 nina send off ya bint yangu, nahitaji huduma ya min bus kama vile toyota coaster, Nissan civilian nk. Root itakuwa kutoka nyumbani Tabata kwa Swai saa 11.30 jioni kwenda Tabata Baracuda holini kurudi nyumbani ni saa 6.00 usiku.

Ni umbali kama km 5 hivyo go return ni kama 10 km. Mwenye gari ya aina hiyo asiwe dalali atoe bei yake hapa na mawasiliano yake.
 
Back
Top Bottom