Habari wadau WA JF
Naomba anaejua connection ya Mifuko hii inapopatikana kwa wingi. Popote pale nitaifuata mwenyewe. Naomba mnitajie na bei yake
Nahitaji kwa bei ya jumla. Mifuko hii huwa inafungashiwa sukari ya kg 50.
Nahitaji Mifuko tupu mingi.
View attachment 2263554