Nahitaji mifuko

Nahitaji mifuko

Ditex

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
284
Reaction score
888
Habari wadau WA JF

Naomba anaejua connection ya Mifuko hii inapopatikana kwa wingi. Popote pale nitaifuata mwenyewe. Naomba mnitajie na bei yake.

Nahitaji kwa bei ya jumla. Mifuko hii huwa inafungashiwa sukari ya kg 50.

Nahitaji Mifuko tupu mingi.

IMG-20220617-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom