Nahitaji Microsoft 365/Office ya Halali kwa Haraka

Jaws

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
622
Reaction score
2,225
Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops).

Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP.

Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye anayeshughulika na hii ishu.

Tuwasiliane kama unayo.

office_365_lifetime_1080x.png
O24PP-600x600.jpg
 
Hakuna cha life time hapo mkubwa, Hiyo siyo office ya kawaida hapo ni 10$ per month kwa individual plan, kazi kwako.
 
Office ya kawaida je? Au siku hizi hazipo? Hiyo ya kulipia kwa mwezi HAPANA!
 
Hiyo simple tu mkuu ila neno HALALI ondoa kichwani, ingia google search utapata crack za kutosha, mfano mi natumia version ya 2024, set up yake ina 5GB kama sijakosea so ni wewe na bundle lako tu mkuu.
 
Tayari nimeshafanikiwa. Legally kabisa 🙏🏿
 
Back
Top Bottom