Nahitaji miche zao la korosho

Nahitaji miche zao la korosho

rettyy

Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
73
Reaction score
37
Kama upo Lindi au Mtwara na unayo miche ya zao la korosho ILIYOBEBESHWA nahitaji kununua mawasiliano 0683776379
 
5e116f69533da676a628c0b87f579a22.jpg


Dodma JKT kuna aina mpya inafanya vzur sna
 
Kama upo Lindi au Mtwara na unayo miche ya zao la korosho ILIYOBEBESHWA nahitaji kununua mawasiliano 0683776379
Lindi si uende halmashauri wana vitalu kibao,njoo inbox nikuelekeze...
 
Jaribu kutafuta mawasiliano ya kituo cha kilimo Naliendele pale Mtwara Manispaa.Pia,Nanhyanga CDC kule Tandahimba Mtwara na Kituo cha maonesho ya nanenane kule Lindi.
 
Nami nasubiri majibu ya bei


Mbegu za korosho zinagawa bure, HAZIUZWI

Tembelea idara ya kilimo ya wilayani kwako kama ni wilaya inayolima korosho utaelekezwa vilipo vitalu vya mbegu na jinsi ya kuzipata.
 
Hiyo Dodoma JKT iko wapi au ndio Makutupora? Hizo mbegu kwa Dodoma zinapatikanaje?

Dodoma mbegu zinapatikana kitalu cha Miche ya Mikorosho kilichopo eneo la Magereza Mpwapwa
 
Bora uchukue mahali karibu na shamba
 
Back
Top Bottom