Nahitaji miche michache ya Maembe na Mapapai

Oct 12, 2014
78
48
Habari,
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napatikana Dar na nlikua nahitaji miche michache kwa ajili ya kupanda nyumbani kwangu japo nipate matunda toka nyumbani.

Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupata hii miche na si vibaya mkanisaidia na gharama zake.

Note: Nimewasiliana na wale watu waliopo maeneo ya karibu na Wapo Radio na wamenimbia kua kwa sasa hivi hawana miche ila kama unahitaji then minimum order ni miche 100.

Thanks Wakuu
 
Back
Top Bottom