Fahad mayai
Member
- Dec 17, 2019
- 27
- 11
Nahitaji mfugaji awe ananiuzia mayai ya kisasa yawe size nzuri (sio madogo) bei siwezi kuweka kwa sababu huwa inabadilika ila kama yupo anicheck kwa number 0625 602 775 / 0712 857 446.
Yanapatikana nitakucheki soon,
Nna duka nauza kwa jumla
Ilala dar es salaamLocation...?