biasharaTz
Senior Member
- Apr 14, 2016
- 163
- 79
MEZA ILISHAPATIKANA
MODERATORS: NAOMBA MFUTE UZI HUU
Habari za muda huu wadau wa biashara!
Nahitaji meza ya ofisini (Chinese type) sio mbaya lakini iwe executive.
Ofa:
Tsh 300,000 naweza kuongeza kutokana na hali na ukubwa
Hali yake:
Hata kama imetumika lkn iwe nzuri isiyo na michubuko. Usiniambie niende pale Gerezani napafahamu vema
Siku:
Kesho au siku yoyote kabla haijapatikana
Napatikana:
Kariakoo, Dar es Salaam
Mawasiliano:
0755411455 (call/whatsapp tupia picha)
Nyongeza ya hitaji
Kama una kiti kizuri (executive one) tunaweza kuongea pia, ilimradi tu kiwe na hali nzuri ya kuridhisha
ASANTENI NIMEPATA MEZA NILIYOKUWA NAHITAJI