Nahitaji mercury nyekundu

Hii inshu Kuna ndugu yangu aliingia baada ya KUGUNDUA kuwa na yeye yupo huko nikaaza kumpa elim had akanielewa KWA shingo upande,Ila yote ya yote nilimsaidia kuwa ni utapeli.ingawa huwa wakishaingia wanakuwa Kama machichi huwa hawaelewi ni wagumu kuelewa hata ukiwaambia wanatepeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…