Basso seleman
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 432
- 119
Bado hamjakoma?
Duh! Hii biashara cdhani ata kama ipo
Basso tuongee kuhusu hii bidhaaipo mkuu sema ngumu sana kama maisha ya machinga
Wanajua wanaoihitaji kakaHii ina kazi gani?
UlishapataHabar za jion wadau wa jukwaa
Kwa yoyote mwenye mercury nyekundu nanunua tafadhali kwa bei nzuri kabi saa hadi mwenyewe ataridhika
Na sihitaji nyingi nahitaji kiasi kidogo tuu kama unayo njoo tuzungumze
siku njema
Kama bado unahitaji huu mzigo upo naomba unitafuteHabar za jion wadau wa jukwaa
Kwa yoyote mwenye mercury nyekundu nanunua tafadhali kwa bei nzuri kabi saa hadi mwenyewe ataridhika
Na sihitaji nyingi nahitaji kiasi kidogo tuu kama unayo njoo tuzungumze
siku njema
Taja bei.Kama bado unahitaji huu mzigo upo naomba unitafute
Call m 0753897992Taja bei.
Yeah ni kweli hii biashara ni ya utapeli tuMercury nyekundu? Binafsi siamini kama ipo, hii biashara nikama unavyosikia Lupia, Simbambili na shilingi ya mwaka 73, au vitu vya namna hiyo.
Mara nyingi kwenye hii biashara anaye kwambia anahitaji ndiye anaemjua mnunuzi. Ukiwauliza watu 200 wa umri wa miaka 18-35 nina hakika huenda usimpate hata mmoja anaejua.
Muhitaji atwambie inauzwa wapi au nchi gani ambako ameshindwa kuinunua mpaka anaitaka hapa?
Mleta mada nakupa ushauri wa bure, ikiwa hujawahi kufanya hiyo biashara...amini walio kuletea hiyo issue wamejipanga kukupiga. Kachupa ka 30gm watakwambia thamani yake ni zaidi ya 100ml....na waliokuapa deal wanakutengenezea mazingira ya kuipata, na ukiipata watakwambia wakupeleke kwa muhitaji...hapo sasaaaa....