Nahitaji mdada wa kazi (maid)

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
679
1,194
Habari za jioni waungwana?

kama kichwa cha habari kisemavyo. Napenda kuwajulisha kwamba ninahitaji mdada wa kazi (Housemaid).

Vigezo:
- Awe na elimu ya kidato cha nne
- Awe ni mtu mwenye upendo na mtoto/watoto,
- mchangamfu,
- Awe msafi haswa, asiwe mkazi wa mkoani Dodoma ila awe na hofu ya Mungu.

Kama una ndugu anahitaji hiyo kazi naomba uje PM.

Kazi ipo Dar es Salaam

Ahsanteni sana na karibuni.
 
Kuna mmoja yupo hapa Dodoma ana vigezo vyote na anatafuta kazi. Nimemuonesha hili bandiko kanuna kweli eti kwanini unabagua watu wa jiji kuu la inji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom