- Thread starter
- #21
We una lako lingine wewe..
Ningetaka kwa ajil ya jambo jingine ningeandika kabisa plainly,kuwa nataka dada kwa ajili ya kwenda kula naye bata ufukweni...sidhan kama kungekuwa na tatizo
We una lako lingine wewe..
Nenda UD swimmming pool pale kuna walimu wazuri sana wa kuogelea, ila wengi wao ni wanaume.
Kuogelea kwema mkuu