Nahitaji mdada anayejua kuogelea

Nahitaji mdada anayejua kuogelea

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Mimi ni kijana (mwanaume), late twenties hvi, napenda sana kuogelea ila sijui. Natafuta mdada, anayejua kuogelea anifundishe. Ambaye yupo interested anipm,t uongee bei, location na time, tukikubaliana we get 2 business
 
Mchagua jembe hafai kwa ukulima, wewe una yako na si kutaka kujua kuogelea. Labda utuniambie unataka kujifunza kuogelea bwawa la chumvin...!!

Na swala la kutaja umri na kujifunza kuogelea vinauhusiano gani.
 
Namfaham anayefundisha ila uwe mtundu wa kufuatilia michoro, yeye haingii kwenye maji na mwanafunzi hata siku moja.
 
Hapana chezea maji kijana ...unaweza kunywa zaidi pipa zima alafu ndio ufe
 
angaliangalia hapa..unaweza pata mmoja..
POOL.png

ukimpata m''pm'' kabanga ama Asprin kwa maelezo ya kuwasiliana nae..
 
Si ukaogelee na rafiki zako!!wadada wa humu tumefungiwa mlango na Invisible hua hatutoki mpaka mitoko maalumu
 
Nenda UD swimmming pool pale kuna walimu wazuri sana wa kuogelea, ila wengi wao ni wanaume.
Kuogelea kwema mkuu
 
Una lako jambo ndio maana hata thread yako ipo MMU...
 
Me learner km wewe ,njoo TUFUNDISHANE....tuanze lini ?
 
Nenda UD swimmming pool pale kuna walimu wazuri sana wa kuogelea, ila wengi wao ni wanaume.
Kuogelea kwema mkuu
Asante kwa ushauri mkuu,nikishindwa kupata mwalim nnayemtaka ntaenda.
 
Mchagua jembe hafai kwa ukulima, wewe una yako na si kutaka kujua kuogelea. Labda utuniambie unataka kujifunza kuogelea bwawa la chumvin...!!

Na swala la kutaja umri na kujifunza kuogelea vinauhusiano gani.
Hapana wewe ndo umewaza mbali.Mi nna lengo la kujifunza kuogelea ukweli kabisa,ila najaribu kutafuta mbinu ambayo itakuwa exciting zaidi.Nikimpata mwenye hizo sifa ntakuwa comfortable na nadhan ntakuwa na bidii zaidi kuliko kama nikiwa na mwalimu mwanaume..
 
Namfaham anayefundisha ila uwe mtundu wa kufuatilia michoro, yeye haingii kwenye maji na mwanafunzi hata siku moja.
Mh,ss kama ni hvy si bora nigoogle tu naweza pata tutorial youtube kuliko nimlipe tena nianze kuhangaika kusoma michoro
 
Hapana chezea maji kijana ...unaweza kunywa zaidi pipa zima alafu ndio ufe

Exactly!!Ndo mana sitaki hayo yaje yanikute siku ya siku,nataka nijue kuogelea niwe pro kabisa,ili maji isiwe tatzo kabisa kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom