Nahitaji Mchumba

Nahitaji Mchumba

mmmm duh bado mdogo sana miaka 20 unataka kuoa mbona unataka kuwapa wazazi wako hakuna ulezi na kujitia stress? soma kwanza wake hawaishi..........
mbona niko stable na najua nini nafanya so let do it
 
mbona me sina tatzo kama yupo alo tayar ani PM Tuongee
 
najua kimeshtua kukwambia sina kazi naish kwa wazee
 
una miaka mingapi? kabila gani? unaishi kwa baba na mama au kwako? nyumba yako au umepanga? unamtoto wa nje au uliwahi kuoa? unafanya kazi wapi? nijibu hayo machache tafadhali?
"Dhambi ya ubaguzi haitakuisha kamwe..
Leo utamuuliza kabila kesh6 utamuuliza rangi yake.."
Mwl JK Nyerere
 
kwann anakuchunia? wenda huna care na mengine ndo maana au elezea tatizo ni nn?
hujanielewa alikuwa rafik yang wakawaida nilipomwambia tu kanichunia
nikimuuliza tatzo hajibu so ni shamsamehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom