thnxUmefanya vema kufanya uamuzi Wa koa, Ni maauzi sahihi. Labda nikushauli kama una nia ya dhati ya kutaka kuoa, piga magoti mwombe Mungu atakupatia mke mwema. Kuna ndoa za mwendokasi siku hizi, usije kujuta! Mwombe Mungu
Daa kwahio unanishauri nini mkuu bora niache?Haki ya mama watoto wa kike wa siku hizi wana tabia za maigizo ili apate kuolewa ila oa uone kivumbi weeee !!!
Hahahahah kwani ukichoma moto ndo nini mkuu....we muoga sana aisekila la kheri mkuu. chunga siku hizi ke wana rekodi zao. siku ya harusi ukiona zawadi kama ya kibahasha hivi usifungue kabisa. Ichome moto.
hahahaaa mkuu Jahlex kuna mambo mengine ni bora usiyajue maisha yako yote hata kama yapo/yalikuepo.Hahahahah kwani ukichoma moto ndo nini mkuu....we muoga sana aise
Aksante mkuu,hahahaaa mkuu Jahlex kuna mambo mengine ni bora usiyajue maisha yako yote hata kama yapo/yalikuepo.
"somethings are better left unseen/unrevealed" hasa kwenye mahusiano. there are so many scary things/stories in our pasts. kuwa makini ndugu, curiosity killed a cat.
hapo kwenye blue generally, uko sahihi kabisa!!Aksante mkuu,
umenipa elimu kidogo ila sometimes inabidi kujikaza kiaskari kuyakabili magumu kama hayo.
Yaani huko uliko mtaani kwako ujaona mpaka uje humu kutafuta mke, are u seriuous ? Humu hakuna mke wa kuoa labda wa kugegedana tu.Mimi ni jinsia ya me,
Elimu yangu ni shahada ya kwanza,
Kazi yangu ni ujasiriamali,
umriwangu 33 yrs,
Nahitaji msichana awe na:
Umri kati ya 23-27,
Elimu isipungue ngazi ya cheti.
Asiwe na mtoto,
Asiye seriouz tafadhali aishia hapa asije akaja pm,
karibuni pm
Mkuu kwani kuachana si mipango ya Mungu pia?hivi hawa watu mbona wananishangaza hivi kuna chuo cha ndoa.mke mwema mtu hupewa na Bwana Mungu full stop ndomana watu waoana leo kesho wameachana.