Nahitaji mchumba wa kiume

Dada ukifanikiwa uletee feedback janvini mamy wish u the best ila kuwa makini usije kutana na ma humanizer.
 
Anataka muajiriwa au aliyejiajiri mwanafunzi huna chako.tuachie mtoto
 
 
naam umesikika,mama bila shaka utakuwa ni binti unayejitambua kwa maana hiyo naitwa anold nimuajiriwa ktk taasisi moja kubwa tu africa mashariki, ni muhitimu ngazi shahada kwa mawasiliano nicheki kwenye email hii pjustincol@gmail.com
 
Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm

Je na wewe ni Mcute?alafu ujaweka sifa zako za mwonekano, ok vijna watachangamka
 
Sisi ambao hatujasoma tutaoa kweli?
 
Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm

utapata mamy,kila la kheri
 
Utafanikiwa jitaidi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…