Nahitaji mchumba wa kiume

Nahitaji mchumba wa kiume

matren

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
10
Reaction score
22
Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm
 
Npo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326
 
Haya tena majanga mtaka tena kwa mashariti mama wapo sisi wengine nafasi imejaa
 
Npo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326

Hayo ingekua vema ukaandika pm.
 
Npo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326

Hapa kuna kuchafuana si bure maana kama ndio wewe jose kwanini usiweke verified user?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom