Habari wana jf,
Kama kichwa kinavojieleza apo juu,Mimi ni kijana wa kiume nafanya kz ktk private sector.kipato changu na maisha yangu ni vyakawaida .kwa sasa naitaji Mchumba wa kujenga nae maisha! Vigezo kama ifuatavyo
1😀ini yoyote ile
2:Rangi yoyote
3:awe tayari kuishi mkoa wowote
4:mnene na mrefu wastani!