Ngoja waje mkuu😂,, all the bestNahitaji Mwanamke Aliyesoma/ Mfanyabiashara/ Anajitegemea/ Mwenye Cheo Chake. Miaka 26 - 35.
Nipo Dar, nimejiajiri.
- Kiongozi Na Mtawala.
- Cuddling Expert.
- Nimetembea Mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k.
- Napenda Kucheka, kuchangamka, Kufurahi Na Kuchombezana.
- Furaha Yangu Ni Kusaidia Watu Kuwa Bora Zaidi Maishani Mwao. Kuwasaidia Ambao Hawakua Na Bahati Pia.
- Muda Mwingine Nakesha Ninaponogewa Kusoma Vitabu Vizuri.
Navutiwa Na;
- Mwanamke Mtiifu Na Anajiheshimu.
- Tako Zuri Na Hips.
- Anayejiamini Katika Uzuri Wake Na Anapenda Uanamke Wake.
- Tabasamu Na Sauti Nyororo.
- Mwanamke Anayejiamini Na Mwenye Mipaka.
- Mwenye Afya Nzuri Na Anajitunza.
- Mwanamke Anayeweza Kueleza Vile Anavyojisikia.
- Msafi Na Mwenye Kujithamini.
- Mchangamfu, Mwelewa Na Anapenda Kufurahi/ Kujirusha.
Najiamini na nimezoea kupata ninachotaka, nataka mwanamke aliyezoea hivyo pia.
PM Kama Upo Tayari Na Kuongozwa Na Mwanaume Jasiri
Mikoa!!!!Nimetembea Mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k.
😂😂😂Julius mwana jf
Mwenzetuu.........
Ndugu..yetuu.....
Mwana jamii foruuu......mm
Eeh member wahuzunikaa...
Duniaa yahuzunikaaaa.....
Pamoojaa twwasema kwaheri
Kwaheri kaka
Juliius wa jamii foruuu.....m
Tengeneza lakoTako zuri na hips😅😅✋
Mbona makasiriko mchumba😅😅Tengeneza lako
Unajua humu hawako wenye nazo nawewe unaweka tu micomment yakoMbona makasiriko mchumba😅😅
Oh sorry ,ila mwenye uhitaji anatak tako zuri na hipsUnajua humu hawako wenye nazo nawewe unaweka tu micomment yako
Mkuu Kwan lazma awe na tako zuri na hips?Nahitaji Mwanamke Aliyesoma/ Mfanyabiashara/ Anajitegemea/ Mwenye Cheo Chake. Miaka 26 - 35.
Nipo Dar, nimejiajiri.
- Kiongozi Na Mtawala.
- Cuddling Expert.
- Nimetembea Mikoa 10+, Ngorongoro, Manyara, Mikumi, Ziwa Victoria, n.k.
- Napenda Kucheka, kuchangamka, Kufurahi Na Kuchombezana.
- Furaha Yangu Ni Kusaidia Watu Kuwa Bora Zaidi Maishani Mwao. Kuwasaidia Ambao Hawakua Na Bahati Pia.
- Muda Mwingine Nakesha Ninaponogewa Kusoma Vitabu Vizuri.
Navutiwa Na;
- Mwanamke Mtiifu Na Anajiheshimu.
- Tako Zuri Na Hips.
- Anayejiamini Katika Uzuri Wake Na Anapenda Uanamke Wake.
- Tabasamu Na Sauti Nyororo.
- Mwanamke Anayejiamini Na Mwenye Mipaka.
- Mwenye Afya Nzuri Na Anajitunza.
- Mwanamke Anayeweza Kueleza Vile Anavyojisikia.
- Msafi Na Mwenye Kujithamini.
- Mchangamfu, Mwelewa Na Anapenda Kufurahi/ Kujirusha.
Najiamini na nimezoea kupata ninachotaka, nataka mwanamke aliyezoea hivyo pia.
PM Kama Upo Tayari Na Kuongozwa Na Mwanaume Jasiri
Basi aendee huko bar au apite pite asituchanganyie habariOh sorry ,ila mwenye uhitaji anatak tako zuri na hips