Nahitaji mchumba baadae awe mke wangu

Nahitaji mchumba baadae awe mke wangu

libent

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
382
Reaction score
84
Niko serious, haya maisha bila kuwa na mwenza hayaendi kabisa.

Umri wangu ni 30yrs
Elimu ni Bachelor degree
Rangi ni Maji ya kunde
Mrefu wa wastani

Sifa za mwanamke asiwe mwanamke chakaramu
 
Njoo tandika....na temeke...sudani... Wapo wengi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom