Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Aug 16, 2014 #21 Dah. Nakumbuka home mzee alikuwa anatulazimishe kuwalisha mbwa wake, nilikuwa nauza zamu ya kulisha. Full kinyaa aisee. Aisee mimi na mifugo nimekaa kushoto sana kwakweli hasa hawa mbwa, paka na vikorokoro vingine.
Dah. Nakumbuka home mzee alikuwa anatulazimishe kuwalisha mbwa wake, nilikuwa nauza zamu ya kulisha. Full kinyaa aisee. Aisee mimi na mifugo nimekaa kushoto sana kwakweli hasa hawa mbwa, paka na vikorokoro vingine.
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Aug 16, 2014 #22 Fadhili Paulo said: Ila mbona mnauza bei kubwa hivyo jamani? Click to expand... Si ni mbwa wa ulinzi au ulitaka koko?
Fadhili Paulo said: Ila mbona mnauza bei kubwa hivyo jamani? Click to expand... Si ni mbwa wa ulinzi au ulitaka koko?
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Aug 16, 2014 #23 Majigo said: mh! Pole Sana Mkuu Mi Nawapenda Sana Click to expand... Sasa wewe Majigo uchukie mbwa wakati wewe mwenyewe ni ndugu yao, we vipi bana mbona unataka kutuchekesha? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Majigo said: mh! Pole Sana Mkuu Mi Nawapenda Sana Click to expand... Sasa wewe Majigo uchukie mbwa wakati wewe mwenyewe ni ndugu yao, we vipi bana mbona unataka kutuchekesha?
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,941 Reaction score 3,261 Aug 16, 2014 #24 haramu hao kuruan ilikataza
M MAWERE JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 448 Reaction score 54 Aug 16, 2014 #25 ok.nipm kwa namba yako weka hapo tupo kmr,kuna wa miez 3 wa kwa maandiba nitakupigia