E enterprenuer 1974 Member Joined Oct 13, 2018 Posts 58 Reaction score 31 Nov 12, 2018 #1 Wakuu Mimi ningenda kujua ni wapi nchini wanalima canola , nina mpango wa kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya Canola. Kama kunaye mwenye mbegu au ni mkulima wa canola naomba tuwasiliane.
Wakuu Mimi ningenda kujua ni wapi nchini wanalima canola , nina mpango wa kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza mafuta ya Canola. Kama kunaye mwenye mbegu au ni mkulima wa canola naomba tuwasiliane.
kiraia JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 1,717 Reaction score 1,012 Apr 10, 2022 #2 Miaka 4 bado hakuna jibu?
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,500 Reaction score 12,839 Apr 10, 2022 #3 Canola ndio kitu gani
araway JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 534 Reaction score 147 Apr 10, 2022 #4 Wasiliana na criss Lukosi akutumie kwenye makinikia