Nahitaji mayai ya Tausi

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,407
2,000
Wadau habari zenu?

Naomba msaada wenu,ninahitaji kupata mayai ya Tausi ISHIRINI,kwa anayejua namna ya kupata naomba mnijuze.Mimi nipo Arusha mjini. Simu 078714032 au niPM.
 
Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
1,225
Mkuu unacheza na nyara? Sogea hapa magogoni hado ofisi za Wama ulizia walinzi wanaweza kukupa ila sio 20
 
delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,010
2,000
Amka usiku wa manane ambaa na mwambao wa ocean road yapo mengi tuu huwa wanatoka ikulu na kwenda kutaga ukanda ule na kuyachimbia kwny mchanga
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,407
2,000
Ninachojua mimi SIO Ikulu pekee ndio wanaofuga Tausi,kwa wenye Tausi na wana mayai yao,please tuwasiliane upate Pesa ya kutosha kwa kila YAI.

Wadau habari zenu?

Naomba msaada wenu,ninahitaji kupata mayai ya Tausi ISHIRINI,kwa anayejua namna ya kupata naomba mnijuze.Mimi nipo Arusha mjini. Simu 078714032 au niPM.
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,770
2,000
Pale ikulu wapo vet officers(mabwana mifugo)onana nao wataweza kukusaidia,kisha hayo mayai utayaweka kwenye incubator.tausi wa ikulu dar wamezagaa maeneo mengi wapo mpaka CBE,mimi cjawai ona ata vifaranga wa tausi.japo nipo dar kitambo
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,407
2,000
Bado nahitaji mayai ya Tausi kwa mwenye nayo au mwenye taarifa sahihi za kuwezesha kuyapata.

Asanteni wote kwa ushirikiano.

Wadau habari zenu?

Naomba msaada wenu,ninahitaji kupata mayai ya Tausi ISHIRINI,kwa anayejua namna ya kupata naomba mnijuze.Mimi nipo Arusha mjini. Simu 078714032 au niPM.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom