Nahitaji mayai ya kisasa

Nahitaji mayai ya kisasa

Ishemo

Senior Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
194
Reaction score
127
Habari za Jioni wana Jf

Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey
Niko Mwenge opp na TRA
aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh

Asante
 
Me pia naitaj kufanya ii biashara muongoz0 wadau/msaada vitu vya kuzingatia unapoitaj kuanza biashara ya uuzaj mayai,
 
Habari za Jioni wana Jf

Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey
Niko Mwenge opp na TRA
aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh

Asante
Mwambie shemeji yako akuletee kwa hiyo bei unayotaka ila shamba bei ni sh 7000.
 
Habari za Jioni wana Jf

Nahitaji mayai ya kisasa trey 30 kwa tzs 6000 @ Trey
Niko Mwenge opp na TRA
aliye nayo anipm tuelewane nahitaji kesho by Saa 5 asbh

Asante
labda ya kuku anayeanza kutaga
 
Kwa bei yako una maanisha trei la mayai 30 kila yai uuziwe Tsh 200/=? Acha tutakula na wanangu au nitawapa majirani wapate protein
 
Back
Top Bottom