Therichman
Member
- Sep 16, 2016
- 31
- 42
Kwa yeyote aliyeko Singida na ana uwezo wa kunipatia mayai ya kienyeji zaidi ya trei 30 kila baada ya wiki 2 anicheki.
kwanini unataka ya kutoka Singida tu?Kwa yeyote aliyeko Singida na ana uwezo wa kunipatia mayai ya kienyeji zaidi ya trei 30 kila baada ya wiki 2 anicheki.
ndio maana nimemuulza yuko wap yy,,,lbda ni cngdaakwanini unataka ya kutoka Singida tu?
Kweli Mkuu, inawezekana yuko Singida!ndio maana nimemuulza yuko wap yy,,,lbda ni cngdaa
Ndio nipo Singida, Ila kama upo Arusha Manyara au Moshi naweza pia kuchukua.Kweli Mkuu, inawezekana yuko Singida!
bei trei sh.ngapi?Ndio nipo Singida, Ila kama upo Arusha Manyara au Moshi naweza pia kuchukua.
anayeuza aseme ataniuzia bei ganibei trei sh.ngapi?
YapoKwa yeyote aliyeko Singida na ana uwezo wa kunipatia mayai ya kienyeji zaidi ya trei 30 kila baada ya wiki 2 anicheki.
Yapo check me 0626595937Kwa yeyote aliyeko Singida na ana uwezo wa kunipatia mayai ya kienyeji zaidi ya trei 30 kila baada ya wiki 2 anicheki.