Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,863
Nahitaji mawe trip zaidi ya 50 Dar siku ya leo, kesho na Jumamosi.
Kama unazo njoo inbox.
Kupakia na mawe yenyewe yasizidi laki moja gari ni kubwa mwisho wa mawasiliano saa tano.
ulidhani natoa papuchi eeeh? halafu wewe mwanga umeloga cheni yangu imekatika janaHalafu wewe......
Unajua nitakutovuga ujinga ukutokeulidhani natoa papuchi eeeh? halafu wewe mwanga umeloga cheni yangu imekatika jana
sijaelewa mkuu utanifanyeje?Unajua nitakutovuga ujinga ukutoke
Nitakutovugasijaelewa mkuu utanifanyeje?
mable tu msolwa unayo?Mawe aina gani? mable au msolwa, size gani ya mawe? gari yenye cubic size gani? yanapelekwa wapi?
Mimi ninayo mawe
Bazazi @ workUnajua nitakutovuga ujinga ukutoke
ndo kunifanyeje mkuu nijiandae? ni kuniteka ama?Nitakutovuga
mzee wa papuchi upo?Bazazi @ work
ndiyo maana yakendo kunifanyeje mkuu nijiandae? ni kuniteka ama?
magari yapo . tunaitaji mawe tuSamahani, unamaanisha, kununua, kupakia pamoja na usafiri??, gari la ujazo gani? Na kama ni pamoja na usafiri, yanaenda wapi?? Nataka tufanye kazi
UkubwA wa magari je??magari yapo . tunaitaji mawe tu
yapo size zote wewe nipangie kila gari na bei yakoUkubwA wa magari je??
Ngoja nimalizie kwaresma kwanza bhana...mzee wa papuchi upo?
35000 kwa cubic metre mojayapo size zote wewe nipangie kila gari na bei yako