Nahitaji mawasiliano ya moja kwa moja na rais wa tff nos, Jamali Malinzi

tinkanyarwele

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
2,016
1,945
Salaam wanajamvi, nina haja sana na mawasiliano na ndugu Jamali Malinzi. Nikiipata nitashukuru sana, ikishindikana hata e mail itanifaa. Si kwania mbaya wapendwa mwenye kunisaidia nitashukuru.
 
Yanapatikana pande za karume
nenda pale utayapata yote.

Namba ya Simu: 4264181
Anuani: P.O. Box 1547
Karume Memorial Stadium Uhuru/Shauri Moyo Road, Ilala
 
Hii Ndio namba ya simu au email address? Acha ukuku wewe
Utakuwa mshamba wa jiji wewe...au karume huwa una pasikia tu..?
Malinzi tunayemjua watanzania anapatikana karume ,pale kuna ofisi zake
rasmi za kazi, kama anamtafuta private , tumu amini kwa kigezo kipi..?
na kama ni raia mwema tu basi aende pale karume atamkuta.
 
Unahesabu Dar nalo jiji? Vipi ungefika Tokyo Osaka au Nagoya?
 
Salaam wanajamvi, nina haja sana na mawasiliano na ndugu Jamali Malinzi. Nikiipata nitashukuru sana, ikishindikana hata e mail itanifaa. Si kwania mbaya wapendwa mwenye kunisaidia nitashukuru.
Analikuwaga na ID humu na alikuwa anachangia. Wakamsemasema akasusa... Jaribu namba zake za simu, ziko public nadhani.
 
Unahesabu Dar nalo jiji? Vipi ungefika Tokyo Osaka au Nagoya?
We jamaa wa kuja sana...yani majiji unayo yaona kwa kutumia "google" na movie zao
ndo yanakuvimbisha kichwa ya kwamba wewe unayajua...? elimika siku nyingine
nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani.

" A real & strong man brags about his dick however tiny it is".
"Charity commence at home"
 
Back
Top Bottom