Nahitaji Matofali ya KUCHOMA Mbutu - Kigamboni

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,735
Reaction score
2,152
Wadau,

Nahitaji matofali ya Kuchoma (Sio Inter-locking) kwa ajili ya kujengea mabanda ya mifugo maeneo ya Mbutu-Kigamboni. Matofali haya ni yale yanayopatikana kwa kuchomwa tofali la udongo na sio yale ya Interlocking. Mwenye kujua wapi yanapatikana kwa Kigamboni msaada please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…