lnox menel
Member
- Mar 11, 2017
- 48
- 26
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama unatanki limekaa alifanyi kazi naitaji matanki kwanzia 2000lita mpaka 10000lita ni kwajili yakuifadhi maji.
Na vizuri uwe Morogoro mjini kuhusu gharama na malipo ni kwa mwezi au miezi miwili miwili uje na bei yako. Kwa mawasiliano 0621 507 835
Nipigie au nitumie SMS au nitafute WhatsApp na hili.