Nahitaji masoko kwa ajili ya mayai

david wise

Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
5
Reaction score
2
Habari za uzima wadau, Mimi ni kijana mhangaikaji tu, shughuli za hapa na pale sina kaz rasmi, nahitaji niingie katka sekta ya uuzaji na usambazaji wa mayai ya kienyeji ila kinachoniaumbua ni masoko tu,kama mnavyojua mwanzo mgumu ..tusaidiane mawazo jinsi gan ntafanya kujikwamua kiuchumi zaidi.
 
Watumiaji wa bidhaa wako mahotelini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…