aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,490 Reaction score 21,050 May 22, 2025 #1 Kama kuna mtu anauza mashuka ambayo ni silk pure 100% naomba mawasiliano yake! Au kama unafahamu ninapoweza kuyapata naomba msaada.
Kama kuna mtu anauza mashuka ambayo ni silk pure 100% naomba mawasiliano yake! Au kama unafahamu ninapoweza kuyapata naomba msaada.
B bbojjo New Member Joined Mar 18, 2020 Posts 4 Reaction score 0 May 23, 2025 #2 aise said: Kama kuna mtu anauza mashuka ambayo ni silk pure 100% naomba mawasiliano yake! Au kama unafahamu ninapoweza kuyapata naomba msaada. Click to expand... Uko wapi? na unataka shuka ngapi ? Ukubwa gani wa shuka?
aise said: Kama kuna mtu anauza mashuka ambayo ni silk pure 100% naomba mawasiliano yake! Au kama unafahamu ninapoweza kuyapata naomba msaada. Click to expand... Uko wapi? na unataka shuka ngapi ? Ukubwa gani wa shuka?
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,490 Reaction score 21,050 May 23, 2025 Thread starter #3 bbojjo said: Uko wapi? na unataka shuka ngapi ? Ukubwa gani wa shuka? Click to expand... Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8
bbojjo said: Uko wapi? na unataka shuka ngapi ? Ukubwa gani wa shuka? Click to expand... Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8
ngenya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,346 Reaction score 1,817 May 24, 2025 #4 aise said: Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8 Click to expand... Yale ya kudarizi maua ya Kigoma huyataki tena?
aise said: Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8 Click to expand... Yale ya kudarizi maua ya Kigoma huyataki tena?
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,490 Reaction score 21,050 May 24, 2025 Thread starter #5 ngenya said: Yale ya kudarizi maua ya Kigoma huyataki tena? Click to expand... 🤣🤣🤣 Haya bwana sina neno
ngenya said: Yale ya kudarizi maua ya Kigoma huyataki tena? Click to expand... 🤣🤣🤣 Haya bwana sina neno
ngenya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,346 Reaction score 1,817 May 24, 2025 #6 aise said: 🤣🤣🤣 Haya bwana sina neno Click to expand... Usisahau ulikotoka mkuu, utamaduni ni muhimu.
-ArkadHill JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 1,669 Reaction score 2,798 May 24, 2025 #7 Ngoja nitie kambi hapa
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,490 Reaction score 21,050 May 24, 2025 Thread starter #8 ngenya said: Usisahau ulikotoka mkuu, utamaduni ni muhimu. Click to expand... Hapana mkuu! Sijasahau nilipotoka, ila Tunanunua vitu kulingana na mazingira!
ngenya said: Usisahau ulikotoka mkuu, utamaduni ni muhimu. Click to expand... Hapana mkuu! Sijasahau nilipotoka, ila Tunanunua vitu kulingana na mazingira!
B bbojjo New Member Joined Mar 18, 2020 Posts 4 Reaction score 0 May 28, 2025 #9 aise said: Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8 Click to expand... Ninayo ....nipo dar magomeni moroko karibu,
aise said: Niko Dar es salaam, nahitaji set nzima (ya kutandika, kujifunika na mito yake) rangi hasa nyeupe. Ukubwa 7×8 Click to expand... Ninayo ....nipo dar magomeni moroko karibu,
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,490 Reaction score 21,050 May 28, 2025 Thread starter #10 bbojjo said: Ninayo ....nipo dar magomeni moroko karibu, Click to expand... Nahitaji mkuu, unauzaje?
B bbojjo New Member Joined Mar 18, 2020 Posts 4 Reaction score 0 May 28, 2025 #11 aise said: Nahitaji mkuu, unauzaje? Click to expand... Nauza shuka za Uganda cotton pure size 7*8 bei shuka 2 foronya 4 kwa TSH 45,000/= tu
aise said: Nahitaji mkuu, unauzaje? Click to expand... Nauza shuka za Uganda cotton pure size 7*8 bei shuka 2 foronya 4 kwa TSH 45,000/= tu