Nahitaji mashine za kupulizia mifugo dawa

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,762
10,491
Nahitaji machine ya kupulizia mifugo dawa. Mifugo ni Ng'ombe na Mbuzi.
Jina la machine nimesahau ila yenyewe in Ubao unakanyagia chini halafu mkono mmoja unakuwa na kazi ya kukusukuma mbele na nyumba mshikio fulani hivi, mlija wake unakuwa wenye ndoo n a mtu mwingine anakuwa na kazi ya kuzungusha sehemu yakutolea dawa.
Mwenye nayo ama anaejua zilipo nisaidie tufanye biashara.
Kwa sasa nipo Jijin Dar
 
Back
Top Bottom