paulokimwasi
Member
- Oct 18, 2016
- 24
- 1
Habarini wakuu,kwa anaeuza mashine ya selcom anipm
Asante
Asante
![]()
SELCOM TANZANIA
+255 784 107 000 , +255 659 077 777
P O BOX 20656 , Dar es salaam, Tanzania
Jamhuri Street
Hao jamaa wanauzaje na wewe unataka ya bei ganiThanx mkuu,japo natafuta used kwa mtu maana ya kutoka kwa hao jamaa pesa itapelea
Hao jamaa wanauzaje na wewe unataka ya bei gani
Ninayo ila ninesahau password, itakufaa?