Nahitaji mashine ya popcorn

Nahitaji mashine ya popcorn

nyamwinuka

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
92
Reaction score
72
Hallow wadau naomba kujua mahali zinapouzwa mashine ya popcorn hii inayotumia baiskeli pamoja na jiko la gesi.. Naomba kujua bei yake na mahali zilipo nipo dar... Asanteni
 
Mkuu Google kuna uzi kama huo ulikuwa humu
Zinauzwa maduka ya Hardware Kariakoo,ila kuna uzi umeelezea kwa kina mpaka mitaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom