Nahitaji Mashine ya kusaga matunda

Mkuu Miss N nimeipenda hii,unamaanisha inachuja juice na kupoza huko huko au?
 
ahaaaa nahamia kabisa kujipika humo


ahahhaa tafuta michezo ya kupeana vyombo !ucheze unanunue jiko ! mie kuna dude moja jaman nimeisahau jina huwa nalala naliota !linavuta harufu yooote unayopika unalijua? lipo km funnel hv ! sio unapika samosa had sebulen isikike haihu !mwee nimelisahau jina
 
ahaaa hilo silijui ila najua tu kuchemsha mdalasini au amira inavuta harufu yote.ngoja kweli nitafute mchezo wa kupeana vyombo
 
ahaaa hilo silijui ila najua tu kuchemsha mdalasini au amira inavuta harufu yote.ngoja kweli nitafute mchezo wa kupeana vyombo


ohh pale napopika ndo nachemsha pemben ?? sipend unakaanga samaki unakuta sebule yote inasmell samaki samak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…