Nahitaji mashine ya kuosha gari

Nahitaji mashine ya kuosha gari

Prof Decentman

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
276
Reaction score
140
Habari wadau,

Kuna ndugu yangu anahitaji mashine ya kuoshea magari na kuvuta vumbi, binafsi yake angependa mashine used zilizo bora na sio za kichina, tafadhari kama kuna mtu anauza awasiliane naye kwa namba hizi;

0782124242

Nawasilisha.
 
Unataka zinazo tumia umeme wa kiasi gani?

Capacity in terms of liters na pressure kiasi?
ImageUploadedByJamiiForums1405379511.023475.jpgImageUploadedByJamiiForums1405379521.735936.jpg

Pia kuna ambazo zina tumia petrol zina power generator yake attached,kama hizi hapa chini?

ImageUploadedByJamiiForums1405379536.526832.jpgImageUploadedByJamiiForums1405379547.896089.jpg

Ni PM kwa maelewano,naweza kukuletea mzigo mpya kwa bei poa
 
Kama ni kwa biashara, kafanya utafiti wa kazi yake vizuri na ana uhakika wa kazi hapo alipo. Kama ana mtaji mshauri aanze na mashine mpya! !!!
 
Kiongozi twahitaji za kutumia umeme na sio mafuta. Ni kwa ajili ya biashara so zinatakiwa kuwa bora kabisa.

Hata za umeme unapata,hizo za mafuta nimekupa kama option mkuu.Sema specification zako kulingana na vigezo hapo juu then nikupe bei,ukitaka used na mpy pia unapata
 
Unataka zinazo tumia umeme wa kiasi gani?

Capacity in terms of liters na pressure kiasi?
View attachment 170886View attachment 170887

Pia kuna ambazo zina tumia petrol zina power generator yake attached,kama hizi hapa chini?

View attachment 170888View attachment 170889

Ni PM kwa maelewano,naweza kukuletea mzigo mpya kwa bei poa

mkuu Karcher K5 uk brand nitaipata kwa ngapi hapa bongo used au mpya? je unazo,maana nahitaji hizo ngoma pamoja na vifaa vyake vya kuosha gari mpaka ndani
 
Kiongozi twahitaji za kutumia umeme na sio mafuta. Ni kwa ajili ya biashara so zinatakiwa kuwa bora kabisa.

mkuu Karcher K5 uk brand nitaipata kwa ngapi hapa bongo used au mpya? je unazo,maana nahitaji hizo ngoma pamoja na vifaa vyake vya kuosha gari mpaka ndani

Bei hizi hapa wakuu.Ni product za UK,na mzigo unatoka UK nakuletea mpaka mlangoni kwako,hela unatoa siku ambayo unapokea mzigo na kuridhika nao.both in good condition na ukinipa order in 3 to 4 weeks unapokea mashine.Kwa maelezo zaidi PM

ImageUploadedByJamiiForums1405462550.775314.jpg
Used kama hiyo juu ni 1.3M from UK

ImageUploadedByJamiiForums1405462568.431276.jpg
Mpya yake kama hiyo juu ni 1.6M

ImageUploadedByJamiiForums1405462587.539507.jpg
Kubwa kama hii ni 1.8M mpya
 
Duh,nimeipenda.ngoja nianze kuifikiria biashara hiyo
 
Back
Top Bottom