Wakuu habari!
Naomba mwenye ujuzi wa machine ya kuchakata alizeti anaisaidie kupata taarifa kuhusu
1. Bei ya mashine na Wapi naweza pata
2.ufungaji wake
3.gharama za uendeshaji
Asanteni!
Wakuu naomba mwenye uzoefu na hii filter naomba anijulishe,
1. Ubora wake kwenye kuchuja mafuta ya alizeti
2. Changamoto zake
3 bei yake ikiwa mpya dukani yenyewe uwezo wa 100 litres kwa saa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.