Nahitaji masada wakuu, wapi naweza pata huduma ya PEP?

Duh nilichelewa kuona uzi huu ningekusaidia ...vipi ulipata mkuu?
 
Sana, ukishakutwa negative na uka attend PEP with 24hrs matokeo huwa uhakika chance 90% success, ila within 72 hrs hata kama vipimo negative, kama uliambukizwa chance ni 50%/50%. alisema doctor sio mimi
Hivi ukipata maambukizi leo mfano. Wakipima wanapata majibu?
 
Dah shida uko mbali PEP ni bure, siku za sikukuu nenda hospital kubwa idara ya Emergency ndo watakusaidia hii kwa yoyote maana 72 hrs imesha pita
 
Starehe ya madakika inaweza kukufanya ukaharibu maisha yako yote! tuwe makini na Mungu atusaidie.
 
Du pole sana ndugu, nenda hospital yoyote ya private/government kubwa kiasi, tafuta doctor kata mpunga utapata hiyo huduma, vinginevyo mpaka j3, na pia j3 mpaka ujieleze sana ueleweke na mpunga upo palepale( kumbuka PEP is for emergency)...
Dah pole sana kwa ulilipitia mkuu vp lakini Ulinusurika?
 
Du pole sana ndugu, nenda hospital yoyote ya private/government kubwa kiasi, tafuta doctor kata mpunga utapata hiyo huduma, vinginevyo mpaka j3, na pia j3 mpaka ujieleze sana ueleweke na mpunga upo palepale( kumbuka PEP is for emergency)...
Sasa hivi una hali gani mkuu?
 
Back
Top Bottom