Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,723 Dec 26, 2015 #1 Nina mchumba nilimpata humu humu jf ila nahitaji marafiki wa kike kwa ajiri ya kushauriana...kuelekezana kimaisha n.k Wenye elimu kuanzia STD VII na kuendelea hasa ndio hitaji langu. Ni pm tupeane contacts
Nina mchumba nilimpata humu humu jf ila nahitaji marafiki wa kike kwa ajiri ya kushauriana...kuelekezana kimaisha n.k Wenye elimu kuanzia STD VII na kuendelea hasa ndio hitaji langu. Ni pm tupeane contacts
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,076 Reaction score 6,774 Dec 26, 2015 #2 mmmhhh ulipata mchumba humu humu bado marafiki wa kike tena?? angalia usijekuwa jf playboyyy
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,723 Dec 26, 2015 Thread starter #3 mwaj waukweli said: mmmhhh ulipata mchumba humu humu bado marafiki wa kike tena?? angalia usijekuwa jf playboyyy Click to expand... Kuwa na marafiki ndio kuwa Playboy???? Au kuwa na wapenz wengi ndio kuwa Playboy? Au mm ndio sielewi? Nimeshasema tayar na mchumba tena jf member. ..
mwaj waukweli said: mmmhhh ulipata mchumba humu humu bado marafiki wa kike tena?? angalia usijekuwa jf playboyyy Click to expand... Kuwa na marafiki ndio kuwa Playboy???? Au kuwa na wapenz wengi ndio kuwa Playboy? Au mm ndio sielewi? Nimeshasema tayar na mchumba tena jf member. ..
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,076 Reaction score 6,774 Dec 26, 2015 #4 hongera mkuu kwakupendezwa na wanakijiji wa jf
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,723 Dec 26, 2015 Thread starter #5 mwaj waukweli said: hongera mkuu kwakupendezwa na wanakijiji wa jf Click to expand... Asante Karibu tuwe ma friend kama hutojari
mwaj waukweli said: hongera mkuu kwakupendezwa na wanakijiji wa jf Click to expand... Asante Karibu tuwe ma friend kama hutojari
M Madam Mwajuma JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 7,076 Reaction score 6,774 Dec 26, 2015 #6 nna marafiki wengi hapa nko kwa mpango wakuwapunguza siongezi tena
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,723 Dec 26, 2015 Thread starter #7 mwaj waukweli said: nna marafiki wengi hapa nko kwa mpango wakuwapunguza siongezi tena Click to expand... OK mwaj waukweli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mwaj waukweli said: nna marafiki wengi hapa nko kwa mpango wakuwapunguza siongezi tena Click to expand... OK mwaj waukweli