Omutwale
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,429
- 1,053
Kwa Dar unaweza kupata pale ubungo, baada ya Kupita majengo ya Tanesco, mkono wa kushoto kama unaelekea Kimara. Pia Tegeta kibaoni yapo kibao sana. Mkono wa kushoto kama unaeelekea Bunju
asisahau kuwa makini, kuna madalali wa kutosha.Kwa Dar unaweza kupata pale ubungo, baada ya Kupita majengo ya Tanesco, mkono wa kushoto kama unaelekea Kimara. Pia Tegeta kibaoni yapo kibao sana. Mkono wa kushoto kama unaeelekea Bunju