Nahitaji maombi yenu ndugu zangu/ wanaJF

Nahitaji maombi yenu ndugu zangu/ wanaJF

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.

Pole sana kwa kuondokewa na babu yako. Unahitaji maombi ya nini na wewe ni mzima wa afya?

Babu siku yake imefika na baba mdogo siku yake ikifika na yeye atakwenda kwenye uzima wa milele.

Na Wakristo wote wameshabebewa dhambi zao na Yesu.

Kila siku mnatufundisha humu JF kuwa akifa mtu ina maana Mungu kamepnda sana, sasa unataka tuwaombee Mungu asiwapende? sielewi.
 
MAOMBI YA HATARI

UTANGULIZI
Maombi ya hatari ndiyo ni sahihi. Kichwa cha habari kinaogopesha katika mtazamo wa kwanza, lakini maelezo yake ni matamu, naamini matamu kuliko asali. Huwezi kueeleza kwa undani maana ya maombi ya hatari mpaka utakapokua unafanya. Haya ni maombi ambayo ulimwengu mzima umekuwa ukiyatamani, kila mtoto wa Mungu anapaswa kuomba haya ili kuweza kumweka shetani pamoja na mapepo yake kule wanakostahili.

Unapokuwa umeomba maombi haya katika Roho na kweli, ...

Continue Reading HAPA
Mpenzi, naomba ufanikiwe
kama vile roho yako ifanikiwavyo.............
 
Mpenzi, naomba ufanikiwe
kama vile roho yako ifanikiwavyo.............
dada prisila poleni sana! Ni kweli ajali imetokea katika kijiji cha mrao na mzee wetu hakuweza kupona katika ajali hii! Ila nitoa angalizo kwa tanroads, ajali hizi zinaweza epukika ila tatizo tanroads hawazingatii taaluma zao! Barabara imejengwa maeneo ya vijiji pila kuwa na hata sehemu ya watembea kwa miguu! Watu wanalazimika kujichanganya na magari, yote haya lazima yatokee
 
Aisee mbohoha navii msheku ruva neksagdia mmeku apone haraka
 
Nahitaji maombi yenu ndugu zangu wanaJF kwa ajili ya baba yangu mdogo.Alikuwa anampeleka babu yangu hospitali leo mchana bahati mbaya wakiwa njiani wakagongwa na gari, babu amekufa pale pale ila baba mdogo hali ni mbaya amekimbizwa katika ya wilaya Huruma huku Rombo. Tafadhali.

Pole sana mkuu,Mungu awatie nguvu
 
Nahitaji maombi yenu ndugu zangu wanaJF kwa ajili ya baba yangu mdogo.Alikuwa anampeleka babu yangu hospitali leo mchana bahati mbaya wakiwa njiani wakagongwa na gari, babu amekufa pale pale ila baba mdogo hali ni mbaya amekimbizwa katika ya wilaya Huruma huku Rombo. Tafadhali.

Pole sana mshiki...

Namuombea baba apone na babu Mungu amlaze mahali pema... Amina
 
Nimeomba kwa Jina la Yesu wa Nazareti, atapona na kuwa mzima kabisa! Amina
 
Back
Top Bottom