Farrakhany
New Member
- May 17, 2018
- 3
- 0
Wadau mbalimbali, salama?
Mimi ninafanya utafiti mdogo wa biashara ya utengenezaji wa kandambili za kawaida kabisa, wengi wengi tunatumia ktk namna mbalimbali.
Sasa nauliza wataalamu au wenye uelewa na biasgara hii, ni wapi naweza kupata raw material nikimaanisha vile vifaa nitakavyotuia kuitengeneza haswa hiyo kandambili, simaanishi mitambo ya kutengenezea la hasha bali zile tuseme plastic na mikanda ya kandambili.