Nahitaji mahindi na karanga mbichi

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,439
Reaction score
1,645
Habari za muda huu.
Nahitaji kununua mahindi 500 kg @Tsh.350/=. Sharti mahindi yanapaswa kuwa makubwa na masafi.
Pia nahitaji karanga 300kg@Tsh.1,400/=. Ziwe safi, zisiwe zimeoza, ziwe zimekauka vizuri.
Nipo Mwanza, kama utakuwa na uwezo wa kusupply hata zaidi ya hiyo idadi naomba uni pm tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…