Kilo unanunua sh. ngapi na inahitaji gunia ngapi?Nahitaji maharage ya njano gololi kwa wingi,nipo Arusha
Mwenye nayo naomba anipe bei yake kwa gunia.
Nitahitaji na picha.
Whatsapp no.0719033180 View attachment 810527
Mkuu upo chini sana kwahiyo bei,ukifika 2000 nistue nikuletee hapo,nipo minjingu.1100 mpaka 1200 inategemea na quality
Sio muuzaji yapo sokoniUnauza mkuu? Mnauzaje kwa gunia? Naomba unitumie picha whatsapp
Nashukuru mkuu,nimetoka naberera wao wanauza 110000 kwa gunia ila ni machache,mbauda pia mi nauza paleKama upo Arusha nenda soko la Mbauda,bei ya hapo sokoni uondoe gharama ya usafishaji toka vijijini, ndio utapata bei ya Kijijini, Mfano Mbauda kilo ni sh.1800 basi unatoa 100 ya usafirishaji, hivyo gunia la kilo 100 inakuwa sh. 170,000 Kijijini,
Fanya utafiti usiende kichwakichwa.
Na wakulima siku hizi wanauliza soko kabla ya kuuza.
Kwa mwaka huu inawezekana kuwa machache kwani maharage yalishambuliwa na maradhi ya kutu na kuoza kutokana na mvua kuzidi, ila Marnie y'a Rotia na Mbulumbulu wilayani Karatu yananapatikana ila kwa bei hiyo hawatauza.Nashukuru mkuu,nimetoka naberera wao wanauza 110000 kwa gunia ila ni machache,mbauda pia mi nauza pale
Nashukuru mkuu wacha nifuatilie mbuluKwa mwaka huu inawezekana kuwa machache kwani maharage yalishambuliwa na maradhi ya kutu na kuoza kutokana na mvua kuzidi, ila Marnie y'a Rotia na Mbulumbulu wilayani Karatu yananapatikana ila kwa bei hiyo hawatauza.View attachment 810613
Habari. Samahani unayo hayo maharage kwa sasa?Mkuu upo chini sana kwahiyo bei,ukifika 2000 nistue nikuletee hapo,nipo minjingu.
Nina maharage ya njano glori(jano fupi ) nauza , ninayo yakutosha kwa mawasiliano zaidi 0765454416Habari. Samahani unayo hayo maharage kwa sasa?